Best Captain of The Team

Golden Awards 2026 · 1 nominee

Best Captain of Team
#1
0 votes

Best Captain of Team

by Abdulaziz khamis ali

Mimi ni Abdul Aziz, nahodha wa Deaf Kabaddi Star Club chini ya Shirikisho la michezo ya viziwi Zanzibar SHIMIVIZA Ninaamini katika uongozi wa nidhamu, mshikamano na kujituma ili kuiinua timu yangu na kukuza vipaji vya viziwi kupitia mchezo wa Kabaddi.

Tanzania SHIRIKISHO LA MICHEZO YA VIZIWI ZANZIBAR(SHIMIVIZA)
View Profile & Vote →