Best Group Dancer
Golden Awards 2026 · 2 nominees
BEST GROUP DANCER
by The jangle Dancer 001
Sisi ni vijana wa kitanzania tunaojishughulisha na kucheza mziki " Dancer " kikundi chetu kina unasimamizi na nidhamu kubwa kutokana na mafunzo tunayopewa na viongoz wetu . Ndipo tukaona ipo haja ya kugombania tuzo hii ya Best group dancer natunaimani tutashinda kwa uwezo wa Mola na bidii zetu ammin
Tanzania
BEST GROUP DANCER
View Profile & Vote →