Best Male Leader
Golden Awards 2026
0
votes
Fighting for the rights of the deaf.
Nominated by Abdulaziz khamis ali
About this Nominee
Mimi ni kiongozi mwenye maono na mtetezi wa haki za viziwi Zanzibar. Ninapigania usawa, elimu, ajira, na matumizi ya lugha ya alama kwa jamii ya viziwi. Nimejikita kuhamasisha vijana viziwi kujiamini na kushiriki maendeleo ya jamii. Pia nimeshiriki katika michezo na shughuli za kijamii kupitia timu ya Kabaddi ya Viziwi Zanzibar. Uongozi wangu umejengwa katika nidhamu, uwajibikaji, mshikamano, na kutetea haki za viziwi.
Organisation
SHIRIKISHO LA MICHEZO YA VIZIWI ZANZIBAR(SHIMIVIZA)
Country
Tanzania
0
votes
Share this Nomination