Best Male Speaker

Golden Awards 2026 · 2 nominees

PUBLIC SPEAKER

PUBLIC SPEAKER

by ABUUHUDHAIFA ISSA MOH'D

Mimi ni kijana Nnaependa kusaidia jamii yangu , kupitia kipaji changu cha Kuongea , Naiwakilisha jamii na Taifa langu kwakila changamoto ambayonaiona na ambayo naweza kuiongelea ili ipate kutatuliwa , Naomba kura yako ili niweze kufanikiwa kushinda tuzo hii. Ahsanteni

Tanzania Black Sailors FC , SUZA environmental Club, Zanzibargreen Society , alhudhaifsports media , Amani central agency , Ihyaau nnasheed , Ayu digital.
View Profile & Vote →