Best Nasheed Group
Golden Awards 2026
NASHEED GROUP
Nominated by IHYAAU NNASHEED
About this Nominee
ihyaau Nnasheed ni kikundi kinachojihusisha na sanaa ya Nasheed (Islamic melody ) kwa kuzingatia maadili na kuifunza jamii kupitia ladha halisi ya sanaa ya nasheed , Tunaomba kura yako ili tuweze kubeba Tuzo Hii inshaallah π Kwa Kutazama zaidi tunayofanya Search Ihyaaunnasheed > Tiktok > Instagram > facebook > Youtube Ahsanteniπ
Organisation
IHYAAU NNASHEED
Country
Tanzania
Share this Nomination