Best Sport Team
Golden Awards 2026
0
votes
Deaf people partcipating in Kabaddi sport
Nominated by Deaf kabaddi star club
About this Nominee
Timu ya Kabaddi ya Viziwi Zanzibar ni timu inayowakutanisha vijana viziwi kupitia michezo, mshikamano, na maendeleo ya kijamii. Timu hii inalenga kuonyesha vipaji vya viziwi na kuhamasisha ushiriki wao katika michezo kitaifa na kimataifa. Pia imekuwa chachu ya kuelimisha jamii kuhusu uwezo wa viziwi katika michezo. Timu hii imesajiliwa chini ya Zanzibar Kabaddi Federation na inaendelea kukuza mchezo wa Kabaddi Zanzibar.
Country
Tanzania
0
votes
Share this Nomination