EWE KIJANA ZINDUKA
Best Upcoming Author Golden Awards 2026
0 votes

EWE KIJANA ZINDUKA

Nominated by Mbarouk MUSSA Said

About this Nominee

Nayaandika maelezo haya kwa ufupi yapate kueleweka Mimi jina langu kamili ni Mbarouk Mussa Said nitambulikae kama Mtoto wa Mussa ambae nimzawa wa Kisiwa Cha Pemba, katika Kijiji Cha Kambini Kichokochwe, kilichopo Wilaya ya Wete na mkoa wa Kaskazini Pemba, ni muandishi na mtunzi wa kazi za fasihi ambapo Mimi nimejikita katika fani ya ushairi, ambayo ninaipenda binafsi kutokana na kuelimisha kwangu kupitia kazi hiyo na kutoa mchango mkubwa katika jamii nimeamua nishiriki katika Golden awards.

Organisation

Aithor

Country

Tanzania

0 votes

Share this Nomination